WEMA SEPETU AMLIPIA KAJALA MILIONI 13 - AELEZA KWANINI ALIFANYA HIVO.


Wema akionekana kumkumbatia Kajala pichani baada ya Wema kulipa fedha taslimu milioni 13 ili kuachiwa mwigizaji Kajala baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 8 jela au kulipa fidia ya milioni 13.

Comments