BAADA YA ILE VIDEO YA NUSU UCHI WADAU WAMTABIRIA AGNES MASOGANGE KUCHEZA PICHA ZA X ....AWEKA PICHA INSTRAGRAM AKIWA KATIKA POZI ZA KIMAHABA NA MPENZI WAKE TAZAMA. HAPA
'
Licha ya mwanadada Agnes masongange kuonekana katika video akicheza mziki huku akiwa na chupi na sidiria tu tena chupi yenyewe ikiwa imeacha sehemu kubwa ya vingo vyake vya siri mwanadada huyo ni kama hajakoma wala hakujali kilichotokea kwani kwa sasa amezuka tena na kufanya wadau watafsiri kuwa hana muda mrefu atacheza x.
Mrembo huyu ambaye anakimbiza vilivyo katika video nyingi za muziki
wetu hapa bongo ameweka picha mbili zinazomuonyesha akikiss lipsi za
jamaa yake na huku nyingine aki kiss bega la jamaa huyo,kuzagaa kwa
picha hizo kunafanya watu wajiulize maswali mengi huku wengine
wakimtabiria kuwa muda si mrefu watamuona katika picha za porn maarufu
kama x.
wakizungumza na jamiileotz wadau wa filamu na muziki wamesema
kuwa hakuna mtu anayeingilia maisha ya model huyo bali wanachowaza ni
juu ya vizazi vijavyo watajifunza nini kutoka kwetu huku wengine
wakisema wanachoamini Agness amekata tamaa ya maisha hivyo hana haja ya
mume wala hana haja ya maisha ndio maana anafanya mambo kama mwanamke
asiyejielewa Hilo ni pepo kaka yangu
anatakiwa maombi huyo msimcheke mnatakiwa kumsaidia na si kumsema kwani
ukiona mtu kafikia hatua hiyo ujue tiyari kasha kata tamaa ya maisha alisema mama kurwa wa kinondoni biafra.

Comments
Post a Comment