BEHIND THE SCENE YA WIMBO WA NEY FT DIAMOND TAZAMA HAPA WALIVOFUNJA
Sehemu ya kwanza ku shoot ilikuwa New Africa Hotel
Hapa Ney akiwa na maua
Diamond Platinum & Ney
Wasafi
Flowers katika pozi pamoja na Grace Shikide
Bebes matataaaaaaaaaa
Bebes matataaaaaaaaaaaa
Hapa wakicheza kamali huku wakiwa wana Battle
Ilikuwa poa sana
Ulimi huo eeh!
Hapa ni sehemu ya pili, eneo la Urafiki
Majembe ya Manzese
Chagua moja
Halla!
Utaipenda tu
Diamond akijiandaa
Wananchi waliojitokeza kushuhudia
Baadhi ya wana ambao nao waliweza kutoa support, Samwel na wengine
Hahaha hapa Diamond alitaka ajaribu na yeye kupiga Drums ikabidi nimuachie, kama kaipenda Mkong'oto Jazz Band hivi eeh!
Ney akiwa tayari kwa ku shoot
Ommy
Ney kazini
Diamond mzigoni
Chezea watoto wa mjini wewe utaumia
Akhaa! Grace Shikide akifanya yake
Comments
Post a Comment