HII NDO MOVIE MPYA KUTOKA KENYA ILIGHARIMU KARIBU MILLION MIA 600 ZA KITANZANIA NA KUSITISHA BAJETI NCHIN KENYA. ;ICHEKI HAPA
Filamu mpya ya Jack Zollo - My Life in Crime, kutoka huko
nchini Kenya, imepangwa kuanza kufanyika mwezi wa 9, na kitu kikubwa
kinachowapa watu wengi msukumo, ni bajeti yake ya shilingi milioni 35 za Kenya
ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 600 za Kitanzania kuitengeneza.
Filamu hii itabeba nyota kama vile Melvin Alusa Ainea
Ojiambo, Lenana Kariba, Jeff Koinange na pia star wa filamu wa Naijeria Jim
Iyke atapewa mashavu ndani yake.
Comments
Post a Comment