HUYU MREMBO WA KENYA ALIEUZA KWENYE VIDEO YA P UNIT, AMEONGOZA KWA KUANDIKWA SANA
Nakumbuka siku chache tu baada ya hiyo video kutoka, taarifa zilisambaa kutoka Kenya kwamba video hiyo imefungiwa kurushwa kwenye kituo cha Citizen Tv kutokana na ukali wa picha, hasa za huyu mrembo.
.

Comments
Post a Comment