INASEMAKANA HUYU NDIE KIJANA ANAYE DATE NA WOLPER KWA SASA MCHEKI HAPA.
Mwanadada Jacklyne Wolper, “WolperGambe anayefanya vizuri sana kwenye gemu ya bongo movie hivi sasa huenda akawa ana-roll na mshkaji mmoja anaitwa “Rammy Galis”ambaye pia ni muigizaji na utakuwa ushamuona kwenye movie ya “Malaika” akiwa na Rose Ndauka na Seth Bosco.Habari zaidi zinasema wawili hawa nyendo zao hawa “might-be-bird-lover” wakirushana my bebe my lova kwenye mitandao ya kijamii. Cheki hapo chini jamaa ka-post picha la Wolper na caption za My bebe!!. Kwa wakati huo huo Wolper naye akatupia picha ya jamaa lakini akapiga kimya bila caption. Kuna uhusiano mzuri tu kati ya hawa wawili, kama ni baba na mama basi heri, kama ni kaka na dada basi bariiiiida vilevile.Hatutaki kumuuliza hata mmoja kati yao kuhusu ukweli juu ya mahusiano yao kwasababu jibu litakuwa lilelile tu kama kawaida ya watu maarufu
Comments
Post a Comment