NEW TRACK KUTOKA ARACHUGA MASHOMBOSHOMBO KUACHIWA WIKI IJAYO
Msanii Juru wa pande za Arachunga jiji la kitalii amefunguka kupitia tripple A radio anatarajia kuachia single yake mpya wiki ijayo inayokwenda kwa jina la mashomboshombo.Kumbuka Juru alifanya pouwa katika track yake ya kwanza ya mburura ambayo inafanya pouwa mpaka sasa A.Town tusubirie hii mpya wiki ijayo

Comments
Post a Comment