STORI YA PENNY KUFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND SOMA HII HAPA
Mtangazaji
wa DTV anayejulikana kama Penniel Mungilwa ama
Vj Penny amabye ni mpenzi wa mwanamziki Diamond plutnumz hivi karibuni
Vj Penny ambapo hiv karibuni Diamond alianzisha uhusiano wa kimapenzi
na muigizaji
wa filamu Irene Uwoya.....
Sasa baada ya story kuvuma mpenzi wake amabe ni Vj Penny amezungumza
kwa ufupi kuwa wameshayazungumza na Diamond na wako vizuri kwa sasa lakini
akasisitiza kuwa asingependa kuliongelea zaidi suala hilo.
Comments
Post a Comment