Baada ya Staa wa filamu Tanzania maarufu kama
"Wema Sepetu", kumtendea wema wa kutosha Staa mwenzake wa filamu maarufu kama
"Kajala" kwa kumlipia kiasi cha shilingi milioni 13, sasa Kajala aamua kujichora tattoo mgongoni yenye jina la "Wema" kama shukrani.
Na baada ya hii picha, kupitia katika mtandao wa kijamii wa Intagram, Wema Sepetu alitupia ujumbe huu hapo chini.
Comments
Post a Comment