UNAFAHAMU KWAMBA GENEVIEVE NNAJI WA NIGERIA ANA MTOTO MKUBWA HIVI
Mpaka sasa mwigizaji Genevieve ameigiza movie zaidi ya 60 toka alipoanza kuigiza movie yake ya kwanza ya Most Wanted mwaka 1998 ukiwa pia ni mwaka ambao ndio mwaka pekee alioigiza movie moja tu, hii miaka mingine mpaka 2011 ameigiza movie zaidi ya moja, 2003 ndio ameigiza movie nyingi zilizofikia 19.
Comments
Post a Comment