VANESSA MDEE AFUNGUKA KUHUSIANA NA KOLABO ANAZOOMBWA BAADA YA KUTOA NGOMA YAKE YA CLOSER



Kupitia kipindi cha top 20 cha Clouds Fm, msanii mpya Vanessa Mdee amekubali kupokea request nyingi kutoka kwa wasanii wakimtaka kufanya nao kolabo, na katika request alizopata tangu kutoa ngoma yake inayofanya vizuri "closer" hazipungui 10 yaani ni zaidi ya 10

"aaam, unajua watu wanapenda vitu vipya vitu tofauti, so namshukuru mungu nimepata ofa, yah kwangu mimi its an offer, when mtu anataka kukuweka kwenye chorus yake, cause mimi mwenyewe nimetoka kwenye you know pamoja na kusaidiwa na chorus ya AY na Ommy, so i understand how beautiful it is kuombwa kufanya kolabo nahisi zimekuwa nyingi, namshukuru mungu kwamba watu wameanza kuelewa kipaji changu, na kuweza kunikubali mimi kama msanii, kama labda may be ten, zaidi ya kumi labda, lakini yeah hazipungui kumi" amesema Mdee



Vanessa pia ameongelea msinano wake katika kufanya kolabo

"kutokana na contract yangu na Bhits, mtu yoyote ambae anataka kufanya kolabo, wote tunatakiwa tuweze ku benefit off each other, kwahiyo mimi most of the time japo kuwa nampenda msanii, napenda mziki wake, inakuwa lazima apitie kwa pancho latino, au kwa Harmy B, wakubali ama wakatae kwasababu wanaelewadizaini ya mziki ambao nafanya mimi na malengo ya mziki ambao nafanya mimi, so lazma ipite kwao wanipe go ahead ama waseme vipi, so mimi kusema ukweli, i would love to work with kila mtu, lakini naelewa wapi they are coming from kama record label na nawaheshim kasababu they are proffesional na they had longevity in the industry kwasababu ya kujua quality.

Comments