WATOTO WA NGERENARO ARUSHA, WANAPENDA HIPHOP HAO


1
Nilifanya interview fupi na hawa Watoto Ngarenaro Arusha ambapo walinitajia kama vile wameambiana, baadhi ya Wasanii wanaowazimia ni pamoja na Jambo Squad na Watengwa… hawa Watoto wenyewe wanalo kundi lao la muziki na wanasema siku moja ndoto yao itatimia kwa kuingia studio…… unaweza kuwatazama hapa chini!

Comments