WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATINUMZ "MAPENZI BASI" KUMBE UMEVUJA - MSIKILIZE DIAMOND AKILALAMIKA..

Mwanamuziki nyota anayefanya vizuri katika tasnia ya Bongo Flava maarufu kama Diamond Platnumz, amefunguka kuhusiana na wimbo wake mpya wa "Mapenzi Basi" unaosemekana kuenea katika mitandao isipokuwa blog hii.

Katika pekua pekua katika mitandao ya jirani, nimekutana na story hii kutoka "LeotainmentTZ" Unaweza kubofya hapo kwa habari kwa kina.

SIKILIZA MAHOJIANO YAO NA DIAMOND.

Comments