Skip to main content
Search
Search This Blog
JAMII LEO
HABARI, MICHEZO, MATUKIO, ,MAKALA ,BURUDANI ,DINI ,VIPINDI VYA REDIO/TV
Share
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
May 24, 2013
BALAA:VIJANA WANNE WAKUTWA WAKIUZA VIUNGO VYA BINADAMU.SOMA HAPA KISHA TAZAMA VIDEO YA VIJANA HAO WAKIWA NA VIUNGO VYA BINADAMU
Jeshi la Polisi Nchini Nigeria hivi karibuni lilifanikiwa kuwakamata vijana wanne ambao walikuwa wanajihusisha na biashara haramu ya kuuza viungo vya binadamu kwa waganga wa jadi na kwa waislam wenye msimamo mkali.
Kwa mujibu wa mamlaka ya jeshi la polisi nchini Nigeria ,watuhumiwa hao wanne hupata "viungo hivyo vya binadamu" kwa kufukua watu waliokufa [maiti] kutoka kwenye makaburi.
Moja ya mtuhumiwa alikiri wazi kwamba binadamu mzima walikuwa wanamuuza N40, 000,vichwa vya binadamu walikuwa wanauza kwa N8000 ambayo ni sawa na $50 za Kimarekani na mikono ya binadamu walikuwa wanauza kwa N4000 ambayo ni sawa na $25 na sehemu za siri huwa wanauza kwa N10, 000 ambayo ni sawa na $62.
Moja ya mtuhumiwa aliyefahamika kwa jina la Agboola Kolawole,nae alikili kuwa kwa sababu ya tamaa na kukosa uwezo wa kulipia ada ya shule ya watoto wake aliamua kujiingiza katika biashara hiyo ili kujikwamua, alisema kwamba lifanya hivyo kwa kuuza vichwa vinne vya ndugu zake ambao walikuwa tayari ni marehemu kwa wanganga wa asili, ambapo wanganga hao nao walikuwa wakiuza viungo hivyo kwa kikundi kimoja kinacho tambulika kama Alhajis.
Aidha Afisa wa ngazi za juu wa jeshi la polisi alisema kizazi cha vijana wa sasa wapo tayari kufanya kitu chochote ilimradi wapate fedha,kufukua maiti kutoka makaburini hiyo ni kazi ya kishetani na kuonyesha kwamba serikali unapinga vitendo hivi vijana hawa watakuwa mfano kwa wengine.
Tazama video hiyo hapa chini
Comments
Popular Posts
March 12, 2013
USWAHILINI KUNA MAMBO ANGALIA PICHA HIZI ZA KANGA MOKO...SHETANI TOKAAAAAAAA!!!!!!
March 12, 2013
UNATAKA KUONA KANGA MOKO LAKI SI PESA...PICHA -- INYE NJE NJE...BALAA
Comments
Post a Comment