HII NDIO KAULI YA PROF.JAY JUU YA SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE....
Rapper mkongwe kabisa katika tasnia hii ya muziki wa BONGO FLAVA maarufu kama Prof. Jay nae ameonesha nia ya kuwa mmoja kati ya watu ambao watakaoshiriki katika show ya mwanadadaLADY JAYDEE ...
Prof. Jay ambaye nae ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa Jide inayokwenda kwa jina la Joto, Hasira ametweet kwa kuandika "[@Profesa_Jay] Nitakuwa na @JideJaydee kwenye show yake ya miaka 13 ya LADY JD, Kwa NGUVU zangu zote, AKILI zangu zote na UWEZO wangu wote, KARIBUNI SANA!!"

Comments
Post a Comment