KIONGOZI MWINGINE ZANZIBAR AMWAGIWA TINDIKALI SOMA HABARI KAMILI HAPA



Wimbi la viongozi wa Serikali, dini, wanasiasa na wafanyabiashara kuhujumiwa kwa ikiwamo kumwagiwa tindikali limeendelea kujitokeza Zanzibar, baada ya Sheha wa Shehia ya Tomondo, Muhamed Said ‘Kidevu; kumwagiwa tindikali nyumbani kwake mtaa wa Tomondo mjini Zanzibar.
Alisema matukio ya watu kumwagiwa tindikali yamekuwa yakijirudia na kutaka vyombo vya ulinzi na usalama, kuongeza nguvu za kukabiliana na watu wanaofanya vitendo hivyo kwa manufaa ya Zanzibar na wananchi wake.
CHANZO NIPASHE

Comments