WATUHUMIWA WA BOMU ARUSHA WAPATADHAMANA SOMA HAPA HABARI KAMILI



24th May 2013
Chapa
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewaachia kwa dhamana watuhumiwa wanaodaiwa kurusha bomu kwa waumini waliokuwa wamekusanyika kuanza ibada ya uzinduzi wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Olasiti, Mei 5, mwaka huu, jijini Arusha.

Comments