WEMA SEPETU NDANI YA BEEF ZITO



Mwanadada Wema Sepetu chini ya kampuni yake ya Endless Fame yuko katika vuta nikuvute ya kumgomabania msanii anayekuja juu siku za hivi karibuni “Mirror”, Wema amevimbiana na Muro, huku wema akidai kuwa amesign mkataba na Mirror na bwana muro nae anadai kuwa anammiliki msanii huyo na wana mkataba wa kufanya album 3 na mapaka sasa hivi hawajatoa album hata moja
nani mkweli atujui na nani anatafuta kiki atujui ila soon mtapata habari kamil
i

Comments