BIFU LA MWANA FA NA LADY JAYDEE LAMFANYA MWANA FA AITWE MWANA FATUMA.SOMA HABARI KAMILI HAPA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Mwana FA anafikiria kuahirisha shoo yake ya kesho kufuatia kifo cha msanii mwenzake wa kizazi kipya Langa Kileo, kilichotokea hivi punde jijini Dar es Salaam.

Mwana FA anafikiria kuahirisha show yake ya kesho iliyopangwa kufanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam na tayari ameanza kuwasiliana na meneja wake kwa ajili ya hatua hiyo.

Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Mwana FA kuahirisha show yake, awali ilipaswa kufanyika Mei 31 mwaka huu lakini ikaahirishwa kutokana na kifo cha aliyekuwa msanii mwenzake wa Bongo Fleva Albert Mangwea.

Hata hivyo Mwana FA ametoa tahadhari ya kejeri juu ya hatua hiyo huku akimtupia madongo mhasimu wake mkubwa Mwanadada Lady Jay Dee, katika taarifa yake aliyoitupia katika mtandao wa kijamii wa Facebook Mwana FA alisema kwamba,



Mwana FA Halisi : "Msiba wa mwana HIPHOP mwenzetu Langa unanifanya nifikirie kuahirisha show ya kesho. Nawasiliana na manager wangu kisha nitawajuza ,but si kwa kumuogopa mwanamke,Let it be clear" alisema Mwana FA.








NA HIZO NDIO COMMENTS ZA MASHABIKI..
Yassin Swai ·
Huyo jamaa boya kweli anafanya mambo yake kwa kuangalia mwanamke anafanya nini! aache ushamba be as a men.


Anyamala Chauya
hakutakiwa kuandika maneno hayo nadhanii atakua anajua kua amejiaribia bigtym


Noel Berence ·
ila hakumtaja kwa jina,wanawake wako wengi yuko sawa.



John H.Mwita · Dar Es Salam, Dar Es Salaam, Tanzania
Hilo nalo unahitaji kumtafuta mkalimani kujua anamuongelea nani

Michael Ngwelema ·
wote hamnazo, na mnaofutilia nanyi ndo walewale, nawashauri tafuteni mkwanja ndo mpango mzima, hamjui kama wenzenu wako kwenye maigizo nanyi mnaigiza bila kulipwa. poleni sana



Kita Innocent · Follow · CBE Dar es Salaam ·
huyu Fatuma ni chizi haezi shindana na jide hata kidogo akajipange upyaaa.


Anyamala Chauya
fATUMA tena hahahahahaha


Enocky Iddy ·

Humewezi jidee mwana fa ungefanya yako wewe unaeleweka kwa kusnich mala kwa mala hata sugu ulishamsaliti kisa haohao clouds b realy mwana fa


Peter Foy ·
balozi wa festula uyo he always underate them cjui walitumia kigezo gani kumpa ubalozi.


Zuberi Swaleh Msemo ·
ni U*******NGE kujibishana cha msingi kuungana na kusameheana remember mlikuwa kitu kimoja before now days some 1 hate other how come we want to to see organization from music but we don't want to to see a different among you and lady J.Dat from my heart JIDE & FA =SUPER STARS......

Leonard CK
mmh huyo mwana fatuma mbona amedandia gari kwa mbele? vita ya Jide ni dhidi ta mafisadi na wanyonyaji wa wanamuziki ambo mwisho wa siku wanakufa masikini, sasa mwana fatuma ameingiaje katika vita hiyo?je mwana fatuma anatumiwa na mafisadi wa mziki?


Anyamala Chauya
mwana fatuma anaitwa sku izi atajuta mwaka huu hahahaha


Deogratius Gracious ·
ni bibi fatuma kasema.


Caro Odemba ·
wape hao wewe tena.



Lule Alfonse · I
ushagwaya

Sdk Allie ·
mwanamke nani sasa kati ya hawa?

Ndebile Ck ·
Mimi sishangai mambo yake hata chembe,hyu kabla hajaanza kuimba alikuwa anafanya ksaidia dada yake anayeitwa Mwanamshamu saloon kuosha nywele na kuwaweka dawa watu sishangai mambo yake ya kike namjua vzr eti akawa anajidai ooh nakaa Upanga wakti alikua anakuja tu kwa ndg tena ndio kuosha nywele kazi za saloon akitoka kijiwe chake kilikuwa zile tax karibu na Don bosco so haya mambo ya kike hajayaanza jana,hapa akisoma hii mfano haruki


Ndebile Ck ·

Enzi hizo tunamuita Hamis kanya anachekacheka tu...


Mvano Mandawa · The University of Arusha
Wanatengeneza biF kumake majina, ushabiki wa hivyo tulishaachaga enzi zile tulipoachaga siasa za kufuata chama. Piga nyimbo kali tununue au tuje tamashani. Mbwembwe zingine weka mbali na watoto au waachie ......

Kimbi Geofrey ·
mwanamke gani fatuma au.

Shang Hu ·

fatuma

Comments