CHEKI HAPA PICHA UTENGENEZAJI WA VIDEO WA WIMBO WA MISS RUVUMA ISABELA MPANDA



 Huyu mwanadada kutoka scopion gals isabela mpanda alieamua kujilipua na ngoma yake mwenye peke yake inayoitwa JIKUBALI blog hii imepata nasafi yakusikiliza wimbo huo kiukweli ni ngoma kali sana, mwanadada huyo ambaye ni mpenzi wa ruten kalama mkali wa kundi la ganngwe mobb alisema video hii im=nafanywa na mkali ABBY KAZI ambae amefanya kazi mbalimbali ikiwemo kazi Y MAJANGA YA SNURA. hivyo aliwataka wapenzi na isabela na scopion gals wasubirie mambo mazuri.



 bela akiwa na abby kazi mzazi

Hapana chezea bela

Comments