DULLY AAMUA KUBAKI MOROGORO KWA AJILI YA KUAGA MWILI WA MSANI MWENZAKE ALIBERT MAGWEHA
Kuna taarifa ziliandikwa na baadhi ya mitandao
kuwa Brother Dully hakwenda kupokea wala
Dully alikuwa na safari ya kuelekea Mwanza, ambapo alikaa huko kwa
muda wa
siku mbili na kurudi, kwakuwa alikuwa akiendesha mwenyewe gari lake
kuelekea Mwanza na kurudi, Dully aliamua kubaki Morogoro tangu siku ya
juma tatu
kuusubiri mwili wa Ngwea, ambapo kwa sasa yupo na
afande sele na wananchi kibao maeneo ya nane nane
, wakisubiri kuusindikiza mwili wa marehemu kaburini kuzikwa leo rest in peacr Albert Mangwea

Comments
Post a Comment