Skip to main content
Search
Search This Blog
JAMII LEO
HABARI, MICHEZO, MATUKIO, ,MAKALA ,BURUDANI ,DINI ,VIPINDI VYA REDIO/TV
Share
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
June 22, 2013
HII NDIO ILE VIDEO YA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA AMBAYO VIONGOZI WA CHADEMA WALIAHIDI KUITOA KWA SERIKALI...ANGALIA HAPA..!!
Video hii ya saa moja na nusu ya mkutano mzima wa CHADEMA uliofanyika katika viwanja vya Soweto mkoani Arusha uliofanyika siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni 2013, siku ambayo palitokea mlipuko na shambulio jioni punde tu baada ya kuhitimishwa kwa hotuba za viongozi mbalimbali, imewekwa youtube na Jesse R.
Comments
Popular Posts
March 12, 2013
USWAHILINI KUNA MAMBO ANGALIA PICHA HIZI ZA KANGA MOKO...SHETANI TOKAAAAAAAA!!!!!!
April 03, 2013
Comments
Post a Comment