HIVI NDIVYO WEMA SEPETU ALIVYO KONGOROKA KWA MKOROGO...... MICHIRIZI YA KIZEE YAANZA KUMTOKA MWILINI..!!
Baada ya kumsikia shuhuda huyo akimtoa kasoro mrembo huyo, mwandishi wetu alitinga nyumbani kwa Wema Sepetu kufanya naye mahojiano juu ya jambo hilo
Alipofika nyumbani hapo, mwandishi wetu aligonga geti na kufunguliwa na dada mmoja ambaye alidai kuwa maadam Wema alikuwa amelala na kwamba hawezi kuamshwa mpaka aamke mwenyewe..
Comments
Post a Comment