KUA WA KWANZA KUCHEKI PICHA ZA M 2 THE P AKIWA SOUTH AFRICA HAJUI CHOCHOTE KUHUSU NGWEA ,, CLICK HAPA

M2 the P alipotembelewa na huyu sister anayeitwa Magie aliyeenda kumjulia hali baada ya msanii huyo kutoka hospitali
M2 the P alipotembelewa na huyu sister anayeitwa Magie aliyeenda kumjulia hali baada ya msanii huyo kutoka hospitaliMsanii M2 the P aliyekutwa mahuhuti pamoja na Ngwair ambaye alifariki, anaendelea vizuri kiafya na ameshatoka hospitali. Mpaka sasa M To The P hajui kama Mangwea amefariki na anadhani mwenzake ametangulia kwenda Dar es Salaam R.IP ALBERT MANGWEA

Comments

Popular Posts