MBWA WATUMIKA KUTAWANYA WATU WALIOHUDHIRIA KUUAGA MWILI WA ALBERT MANGWEA CHEKI PICHA HAPA
Asakari
Polisi wakitumia mbwa kutawanya maelefu ya watanzania waliotaka kuuaga
mwili wa Mangwea baada ya muda uliopangwa kukamiliki.
ZOEZI la kuuaga mwili wa aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya marehemu Albert Mangwea aliyefariki Dunia nchini Afrika Kusini Mei 28 umesitishwa huku umati mkubwa ukiwa haujamaliza kuuaga.
Kitendo
cha Kamati ya maandalizi kukatisha zoezi la kuuaga mwili wa marehemu
kwa sababu ya muda uliopangwa kukamilika iliwashangaza mamia ya watu
waliok
uwa kwenye foleni ya kusubiri kupata nafasi ya kutoa heshma zao za mwisho mbele ya Jeneza la Mangwea.
Zoezi hilo liloanza saa 2:30 asubuhi imesitishwa saa 6:30 mchana kwa saa za Afrika Mashariki na Kati, na msafara ukiongozwa na Askari wa Jeshi la Polisi pamoja na vikosi vya ulinzi na usalama waliokuwa katika Viwanja vya Leaders Club.
Barabarani Asakari wa Kikoso Cha Usalama Barabarani pia walijiapanga vizuri kuhakikisha kwamba msafara wa mwili wa marehemu unapita vizuri katika maeneo yaliokuwa yamepangwa kuelekea mjini Morogoro.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mr Blue alifika katika viwanja hivyo akiwa amechelewa na kukosa muda wa kuuaga mwili wa Mangwea lakini alipokutana na mashabiki wa muziki wake aliweza kusimama na kuwapa pole.
Mwili
wa Mangwea hivi sasa uko sa Mjini Morogoro ambapo
utalala nyumbani kwa mama yake na kesho wakazi wa Mji huo pia watapata
nafasi ya kutoa heshma zao za mwisho.
ZOEZI la kuuaga mwili wa aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya marehemu Albert Mangwea aliyefariki Dunia nchini Afrika Kusini Mei 28 umesitishwa huku umati mkubwa ukiwa haujamaliza kuuaga.
Kitendo
cha Kamati ya maandalizi kukatisha zoezi la kuuaga mwili wa marehemu
kwa sababu ya muda uliopangwa kukamilika iliwashangaza mamia ya watu
waliok uwa kwenye foleni ya kusubiri kupata nafasi ya kutoa heshma zao za mwisho mbele ya Jeneza la Mangwea.
Zoezi hilo liloanza saa 2:30 asubuhi imesitishwa saa 6:30 mchana kwa saa za Afrika Mashariki na Kati, na msafara ukiongozwa na Askari wa Jeshi la Polisi pamoja na vikosi vya ulinzi na usalama waliokuwa katika Viwanja vya Leaders Club.
Barabarani Asakari wa Kikoso Cha Usalama Barabarani pia walijiapanga vizuri kuhakikisha kwamba msafara wa mwili wa marehemu unapita vizuri katika maeneo yaliokuwa yamepangwa kuelekea mjini Morogoro.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mr Blue alifika katika viwanja hivyo akiwa amechelewa na kukosa muda wa kuuaga mwili wa Mangwea lakini alipokutana na mashabiki wa muziki wake aliweza kusimama na kuwapa pole.
Mwili
wa Mangwea hivi sasa uko sa Mjini Morogoro ambapo
utalala nyumbani kwa mama yake na kesho wakazi wa Mji huo pia watapata
nafasi ya kutoa heshma zao za mwisho.
Comments
Post a Comment