MIRAJI KIKWETE ATOA FULANI KWA AJILI YA MSIBA WA MSANII MANGWEA..CHEKI PICHA KAMILI HAPA

Monday, 3 June 2013

.

Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).

Marehemu Albert Kenneth Mangweha enzi za uhai wake.
Mdau wa muziki nchini, Miraji Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete leo amekabidhi fulana kwa ajili ya shughuli ya msiba wa msanii Albert Kenneth Mangweha katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

Comments

Popular Posts