MTANZANIA ALIEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MISRI KUNYONGWA TAZAMA VIDEO YAKUKAMATWA KWAKE HAPA

Kwa habari ambazo zimeenea mjini kuhusiana na mwanamke aliekamatwa Misri akijaribu kusafirisha madawa ya kulevya taarifa inasema kuwa kwa sheria za misri ukikutwa na kosa la kuingiza / kutoa madawa adhabu yake ni kunyongwa.

Comments

Popular Posts