MUME WA MAMA WA MIPASHO KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA

Habari kutoka kwa chanzo chetu cha
karibu katika faamilia ya khadija kopa kimetupa habari asubuhi hii kuwa
mume wa khadija kopa anaejulikana kama JAFFAR ALLY amefariki dunia usiku
wa jana kuamkia leo huko bagamoyo ambapo ndio nyumbani kwao,marehemu
alikuwa akiumwa kwa mda kidogo juzi alipata nafuu hata kupelekea mkewe
KHADIJA KOPA kusafiri kikazi mpaka umauti unamkuta JAFFAR ALLY khadija
kopa yuko mkoani kwaajili ya shughuri zake za kimuziki.mungu
ailaze roho ya marehemu jaffar mahala pepma peponi.amin.


Khadija kopa na mumewe.

Comments
Post a Comment