NEW LIFE /NEW RIDE / TANZANIA MPO TAYARI KWA KINGKAPITA NEW SONG??


YULE MSANII KINGKAPITA AMBAE ANAFANYA VIZURI NA NYIMBO YA KUNATATIZO KWANI?? ALIOMSHIRIKISHA GODZILLA SASA HABARI ZILIZOTOKA KWA MANAGEMENT YAKE ANAJITAYARISHA KUACHIA NYIMBO MPYA MUDA WOWOTE KWANZIA SASA ALIKUA ANASUBIRI KWANZA KWA HESHIMA YA LEGEND WALIOTANGULIA NGWEAR NA LANGA WAZIKWE SALAMA NA HESHIMA
HALAFU NDO AACHIE KIBAO CHAKE KIPYA



Comments