SAMAKI WA AJABU AVULIWA UNGUJA...CHEKI PICHA HAPA..!!


Tuesday, 4 June 2013


NI AJABU NA INASTAJABISHA:Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshanga samaki huyu wa ajabu ambae wavuvi na wakaziwa maeneo hayo hawakuwahi kumwona,maana samaki huyu aelewiki ni CHUI,DUMA au ni nini....Nikaona nisistajabike mwenyewe nikuweke hapa wewe mpitiaji wa This is diamond upate kujuayanayoendelea Dunia.....kwangu mimi ni ajabu sijawahi kuona kiumbe kama hicho.....

Comments

Popular Posts