TAZAMA PICHA ZA MAANDALIZI YA MAZISHI YA LANGA KUTOKA NYUMBANI KWA MIKOCHENI..!!
Hapa ndipo
alipokuwa analelewa Langa kwa wazazi wake baba na mama na hizi picha ni
wasanii wakifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kutoka Star TV na
EATV. Picha ya juu ni Kalapina na picha za chini ni Kala Jeremiah
Ni Nyumbani kwa Marehemu Langa hapa Kalapina kiongozi wa kikosi cha mizinga akiongea na mwandishi wa habari akimuongelea Mwana hiphop Mwenzie Marehemu Langa,KALAPINA amesema ameumia sana kwani Langa alikuwa Mwana hiphop aliekuwa akifata Misingi ya Hiphop.RIP Langa
Comments
Post a Comment