WAKAZI WA MOROGORO KUAGA MWILI WA MAREHEMU NGWAIR HAPA CHEI PICHA HAPA

 Huu ni uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo wakazi wa mkoa wa Morogoro na jirani wataweza kuaga mwili wa marehemu Mfalme wa FreeStyle Albert Mangwair, Kisha kumpeleka kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele




Comments

Popular Posts