ANGALIA PICHA ZA KAMPENI MENEJA WA MWENYEKITI WA CHADEMA-MBOWE AKIKABIDHI KADI YA CHAMA KWA CCM
CHANZO:Jamiiforum/jukwaa la siasa
Mchungaji Simboni, aliyekuwa Meneja wa Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Mh. Mbowe na Katibu wa Chadema Wilaya ya Hai akirudisha kadi yake ya Chadema jana kwa Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa Mh. Bulembo jana kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Kaway, Longilo Wilaya ya Hai. Mchungaji Simbon alitangaza rasmi kurejea CCM, alipokuwa zamani.
Comments
Post a Comment