IRENE UWOYA AANGUKIA KWENYE PENZI LA MSANII WA KONGO FERRE GOLA soma hapa
Irene
Uwoya hivi karibuni amebadilisha jina lake la instagram na kuanza
kujiita Irenewaferegola8. Kama ulikuwa hujui Feregola8 ni msanii mkubwa
kama Farry Ipupa huko Congo. Hatujajua kama irene uwoya na Ferre gola
ni marafiki wapya au Irene Uwoya ni moja kati ya mashabiki wakubwa wa
mwanamuziki wa Congo Ferre Gola
Comments
Post a Comment