KUWA WA KWANZA KUANGALIA MATOKEO YA UCHAGUZI WA UDIWANI WA KATA NNE ZA ARUSHA HAPA
Uchaguzi uliofanyika jana Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani wa Kata Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha umemalizika.
Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza rasmi washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA imepata ushindi kwa kunyakua Kata zote Nne kama ifuatavyo:
KATA YA THEMI: CHADEMA 678; CCM 326; CUF 313
KATA YA KIMANDOLU: CHADEMA 2,665; CCM 1,169
KATA YA KALOLENI: CHADEMA 1,019; CCM 389; CUF 169
KATA YA ELERAI: CHADEMA 1,715; CCM 1,239; CUF 213
Vyama vingine vilivyoshiriki vilikuwa ni TLP, CCK na Demokrasia Makini.
Comments
Post a Comment