KUWA WA KWANZA KUCHEKI VIDEO YA JAFFARAI BLAH BLAH ALIYOMSHIRIKISHA R.I.P ALBERTH MANGWEHA

jafarai
Jaffarai ambaye alitesa sana na ngoma yake ya Niko busy kipindi hicho  ambapo alifanya na Daz Baba wa Daz Nundaz, mwaka huu alitoa ngoma yake titled “Blah blah” akimshirikisha marehemu Mangwea. Kupitia ukurasa wake wa twitter, Jaffarai ambaye pia ni mjasiriamali anayemiliki carwash ameelezea ujio wake mpya. “Get ready 4 blah blah video inadondoka soon”… hayo ndiyo yalikuwa maneno ya Jaffarai kuhusu ujio wa video ya ngoma hii. Lakini kitu kikubwa cha kusubiria ni kuona jinsi sehemu ya marehemu Mangwea itakuwa covered kivipi na creativity gani itatumika kuziba pendo la video hiyo ambayo audio yake Mangwea yupo.
jaffarai
Kama ulikuwa haujawahi kusikiliza Blah Blah ya Jaffarai ft Ngwea..chukua nafasi kuisikiliza hapa

Comments