KUWA WA KWANZA KUMFAHAMU MWANAMKE MWINGINE ALIYEOLEWA NA BABA YAKE BEYONCE
Beyonce na Solange wamepatiwa mama mpya na baba yao ambaye pia ni mkuu wa Music Entertainment world na pia alikuwa manager wa kundi la Destiny Child.Matthew Knowles ambaye ndiyo baba yake Beyonce na Solange kwa mama Tina Knowles, ambao wote waliachana na kumalizana mambo ya talaka mwaka 2009.
Gena Charmaine ns Matthew Knowles
Comments
Post a Comment