KWA MTINDO HUU NIKAMA T.I.D AMEACHANA NA MZIKI SASA ANATAFUTA BIFU NA WATU?SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA HAPA
Rapper Wakazi ni mmoja kati ya wasanii ambao majina yao
hayajatajwa sana kwenye headlines za bongoflevani, hii ni kutokana na
msanii huyu kuwa njiani kuelekea juu kwenye game⦠ameishi Chicago
Marekani kwa zaidi ya miaka 7 kabla ya kuamua kurudi nyumbani Tanzania.
Comments
Post a Comment