MAUSIANO YA WEMA SEPETU NAMTANGAZAJI WA KITUO CHA REDIO HAPA TZ YAENDELEA KUCHANUA zaidi pita hapa



Siri Imefichuka.Tazama Picha ya Wema Sepetu Alivyofumaniwa Akiwa Anatomaswa Live na huyu jamaa ambaye inasemakana ndio Mpenzi Wake Siku Hizi.Huyu ni Raheem Mtangazaji wa Times fm 
ambaye pia ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar-Es Salaam.ambapo penzi hilo limeonekana kukuwa siku hadi siku huku watu wengi wakitolea macho swala hili je mapenzi hayo yatadumuuuuuuuuuuu
Mhhhhhhhhhhh!! Kazi kwako Wema yetu macho.Nakumbuka wema alishawahi kuwa na mahusiano na mastaa kibao kama mtumzima plantnumz,mr blue na wengine wengi lakini wakatemana sijui kwa huyu mtangazaji yetu macho

Comments