Skip to main content
WIMBO WA BEN POL JIKUBALI WALETA TAFARANI CLOUDS FM zaidi soma hapa...
Mdakuzi wako leo wakati nasikiliza kipindi cha Power Breakfast, Gerald
hando amesema amechukizwa na Mwanamuziki Ben Pol kucopy na Kupaste wimbo
wake mpya unaotamba kwa sasa wa JIKUBALI kutoka kwa Wimbo wa Script Feat
Wiliam Am unaoitwa Hall of Fame....Gerald Hando aliyasema kuwa hata piga
huo wimbo katika kipindi chake cha Power Breakfast...Hii ilikuja baada ya
Msikilizaji kuandika Massage akiponda Ben Pol kukopy na kupaste ambapo
Gerald nae alikandamizia kwa kumsaport..
Comments
Post a Comment