ANGALIA PICHA ZA MAJAMBAZI WALIOPIGWA RISASI KATIKA KITUO CHA MAFUTA GBP MWANZA.
Mmoja wa majambazi waliouawa jana kwenye kituo cha mafuta GBP Mwanza jana majira ya saa 2 usiku. |
"Jambazi hili lilikuwa limeshika panga.Mwenzake aliyekuwa na SMG alipoanguka huyu akaelekea mbio kuichukua lakini akapambana na risasi ya polisi naye akagalagala chini."
Comments
Post a Comment