KUWA WA KWANZA KIIFAHAMU NYIMBO MPYA DANNY LOVE "THE LOVE MAKER"PRODUCER UNAJUA.soma habari kamili hapa







KWA MARA NYINGINE TENA YULE YOUNG PRODUCER LAKINI NI BEST SINGER MKOANI MBEYA DANNIEL MWAKYOMA a.k.a DANNY LOVE ANATARAJIA LEO KUACHIA NGOMA YAKE MPYA INAYOITWA  UNAJUA AKIWA NA MSHIKAJI WAKE STEVE BROWN.
PICHA JUU NI DANNY LOVE AKIWA KATIKA MOJA YA POZI LA UTENGENEZAJI WA VIDEO YAKE YA UANAJUA AMBAYOO NYIMBO HII AMECHANA JAPO ANAIMBA RNB.

PICHA JUU NI YOUNG PRODUCER DANNY LOVE  AKIWA NA SUPER CILLIOUS PRESENTER AMBAYE AMEMCHUKUA KAMA VIDEO QEEN KATIKA NYIMBO YAKA HIYO MPYA AKIWA NA STEVE BROWN NA HIYO NI MOJA YA EXCLUSIVE PICHA ZA UTENGENEZAJI VIDEO YA WIMBO HUO MPYA
KWA TAARIFA RASMI TOKA KWAKE DANNY LOVE ANATARAJIA KIACHIA LEO KUPITIA KIPINDI CHA THE BEAT KINACHORUSHWA 101.6 ARUSHA ONE FM NA PASCHAL MZEE WA CHIMBO NA BAADAYE KUPITA BLOGU YA JAMIILEO TZ.BLOGSPOT.COM UNAWEZA UKA ISIKILIZA NA KIIDANLOAD USIIKOSE KUWA KARIBU MDA WOTE NA BLOG YAKO HII UPATE KUISIKILIZA
 
PICHA NI DANNY LOVE AKIWA NA GODFREY MKAMA a.k.a Dj BIG HIMSELF AMBAYE NI MIONGONI MWA MA DJ WALIOPO KATIKA STUDIO HIYO YA DANNY LOVE LOVE MAKER RECOD NA KATIKA KUNDI LA LOVE MAKER ALL STARS

Comments