KUWA WA KWANZA KUWA FAHAMU WASANII WA BONGO10 WANAOPENDA ZAIDI WANAWAKE HASWA WAKITANZ\ANIA
MR BLUE
Hawa ndio wasanii wanaokubalika sana na watoto wa kike wanapoimba jukwaaani kelele nyingi sana upigwa na wasichana pindi waingiapo kwenye stage kwa nyimbo zao,mbwembwe zao na hata mapozi yao.ninao baaath hapa ambao ni vipenzi vya mabinti katika sehemu mbalimbali wanazopiga kazi hasa hsa pale NEW MAISHA CLUB kwa mujibu wa Hyper man hk ambae kwa kiasi kikubwa yeye ndio uendesha show izo alisema pindi atangazapo majina ya jamaa hao kuwahita kwenye stage upewa shangwe nyingi sana jukwaa,hawa wasanii upendwa sana na mademu asikwambie mtu alimaliza kwa kusema hivyo.
DULLY SYKES
Hakuna msanii mwenye pozi na hasie na papara jukwaani kama DULLY SYKES ANAIMBA KWA MAPOZI NA KILA NGOMA YAKE NI HIT SONG kwahiyo upata shangwe nyingi sana jukwaani
ALI KiBA
Uwezo wake wakuchezea sauti wakati anaimba uvutia mademu sana na kujikuta wakipiga kelele nyingi kupita maelezo.
DIAMOND PLATNUMZ
Guys sina mengi yakuzungumza kwenye hili ila huyu ndio kiboko yao moja kati ya wasanii wanaopendwa na wasichana huyu ndio namba moja kwa tanzania kwa mujibu wa hyperman hk amesema hawapojukwaaani pale new maisha club akitangaza msanii anaekuja ni diamond platnum izo kelele zake hata mziki hausikiki na mabinti ujikuta wakichanganyikiwa kabisa na wengine kukimbia mpaka mabwana zao na kwenda kutunza wakishuka jukwaani kipondooo.
DIMPOZI KWA POZI
Ngoma zake zenye maudhui ya MAPENZI zinawafanya wakidada kuzipenda sana na akiwapo jukwaaani upigiwa sana shangwee.
hUYU HAPA HYPERMAN HK
mc anaendesha show mbalimbali za wasanii hapa nchini.
T.I.D MNYAMA
Huyu hapa sasa miuno yake na uchale anaouleta jukwaani ndio unaofanya watu wampigie sana shwangwe kwamfano kuna siku maisha club aliiimba na kucheza akapanda juu ya dj cabin na akaanza kukatika miuno zilisisikika sauti za kike tu du mnyama noumerrr.
Uzuri wa sauti yake na uwezo wake wakuimba jukwaaani ndio mana hata mwenyewe ujiita kipenzi cha mabinti huyu jamaa WASICHANA wengi uimbanae kwenye stage kwamana ya kuzikariri sana nyimbo zake na kumpigia shangwe nyingi sana na kutunzwa majihelayakutosha tu.
BOB JUNIOR
DAAAAH Sijui nikwambiaje huyu jamaaa hatari sana yaaani mabinti wakisikia bob junior yupo jukwaani wanajazana sana hatariiiiiiiiiiiiii na shangwe zakutosha.
JUX
Huyu hapa mkali mwengine anaetamba na ngoma ya uzuri wako,hivi karibuni atazindua video yake ya UZURI WAKO pale New maisha club dar siku ya TAR 31.Siku hiyo najua totoz zinakuwa zakumwaga kwasababu huyu ni moja kati ya wasanii wasafi na wanatupia sana pamba na ni kivutio kikubwa sana cha mademu akiwa jukwanani.
Huyu hapa mkali mwengine anaetamba na ngoma ya uzuri wako,hivi karibuni atazindua video yake ya UZURI WAKO pale New maisha club dar siku ya TAR 31.Siku hiyo najua totoz zinakuwa zakumwaga kwasababu huyu ni moja kati ya wasanii wasafi na wanatupia sana pamba na ni kivutio kikubwa sana cha mademu akiwa jukwanani.
source-hyperhk.blogspot.com
Comments
Post a Comment