MFAHAMU MWANDISHI WA HABARI ANAYEFUATA NYAYO ZA RIHANNA KWENYE MITINDO HAPA BONGO
JINA LAKE KAMILI ANAITWA ROSEMARY MALITY NI MWANDISHI WA HABARI WA ROSMARYFASHION.BLOGSPOT.COM,LAKINI NI MWANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI NA UTANGAZAJI ARUSHA.NA KASHAWAHI KUCHUKUA TAJI LA UMISS CHUONI HAPO KAMA ANAVYOONEKANA KWNYE PICHA HAPO CHINI.
picha inamuonesha rose akiwa kwenye shindano la umiss chuoni hapo
PIA KASHAWAHI KUSHIRIKI MASHINDANO YA MODOL YALIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA TRIPPLE A JIJINI ARUSHA AKASHIKANAFASI YA NNE KAMA ANAVYOONEKANA HAPO CHINI NDANI YA UKIMBI WA TRIPPLE A SIKU YA MASHINDANO
hapa rossiku ya mshindano ya model
HAPA ROSE AKIWA NYUMBANI KWAO MARANGU MOSHI KWENYE MOJA YA UTENGENEZAJI PICHA ZAKE ZA MITINDO.
PICHA HINI MWANA MITINDI ROE ANAYFUATA NYAYO A RIHANNA AKIWA KATIKA MOJA YA TUDIO ANAZO FANYA KAZI
PICHA CHINI TATU ZA MWANA MITINDO ROSE AKIWA KATIKA POZI LA MOJA YA PICHA ZAK ZA MITINDO
Comments
Post a Comment