Leo siku ya pili October 2013 zimetokea vurugu huko Mbeya baada ya wafanyabiashara kugoma kununua mashine za TRA zenye thamani ya Tsh 800,000 ambapo baadae walitawanywa na mabomu ya machozi kutoka kwa Polisi… hizi ni baadhi ya picha za tukio lenyewe Picha zote na ripota wa blog hii alioko mkoani mbeya na bado yupo eneo la tukio na kufuatilia kinachoendelea baada ya wafanyabiasharahao kufukuzwa na polisi cha msingi nikuwa karibu na blogu yako hii na facebook na twiter. FACEBOOK.COM/ABDALLA WELLAH TWITR.COM/ABDALLA WELLAH
Picha zote na ripota wa blog hii alioko mkoani mbeya na bado yupo eneo la tukio na kufuatilia kinachoendelea baada ya wafanyabiasharahao kufukuzwa na polisi cha msingi nikuwa karibu na blogu yako hii na facebook na twiter. FACEBOOK.COM/ABDALLA WELLAH TWITR.COM/ABDALLA WELLAH
Comments
Post a Comment