HATIMAYE NDEGE YA ABIRIA YA ANGUKA NCHINI NIGERIA.soms habari kamili hapa
Ndege iliyokuwa imewabeba watu
20 imeanguka baada ya kukumbwa na hitilafu ya injini, muda mfupi baada
ya kuruka kutoka uwanja wa ndege mjini Lagos nchini Nigeria
.Taarifa kamili zilizolipotiwa na BBC swahili zinasema kuwa watu 8 wamefariki.
Aidha ilikua inaelekea mjini Akure Kusini Magharibi mwa nchi, kwa mujibu wa msemaji wa shirika la udhibiti wa safari za angani
nchini humo.
Injini ya ndege ilikumbwa na hitilafu na kuisababisha ndege kuanguka na kuteketea.
Mbali na kueleza watu hao nane wamefariki hata hivyo hakuna taarifa za kuthibitisha idadi ya watu waliofariki.
Comments
Post a Comment