kuwa wa kwanza kuona picha za mazishi ya baba yake mzazi msanii 20 percent
Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.
Hapa ndipo alikozikwa Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20 Percent aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga
Abas Kinzasa kwa jina usanii anaitwa 20 percent akieleza jambo kandokando ya kaburi la Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga
Marehemu mzee Kinzasa akiombewa dua baada ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele
Hii ndio nyumba aliyoicha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko kwenye kijiji cha Kimanzichana
Baadhi ya wananchi waliofika msibani
Wazee wakiesabu kiasi cha pesa kilichopatikana kwa watu waliotoa rambirambi zao kwenye msiba wa marehemu Mzee Kinzasa
Mzee akieleza jambo kwenye msiba wa baba yake na 20 Percent aliyefariki siku ya Jumapili na kuzikwa nyumbani kwake kwenye kijiji cha Kimanzichana
Mwenyekiti wa mtaa wa Kimanzichana akimkabidhi mtunza pesa, pesa alizopewa na wananchi kwa ajili ya rambirambi
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye msiba wa baba yake na 20 Percent kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichoko wilaya ya Mkulanga mkoani Pwani hapo jana mchana
Mtunza pesa akieleza kiasi cha pesa zilizopatikana baada ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika msibani hapo kutoa rambirambi zao
Comments
Post a Comment