Angalia Picha za Rais Kikwete alivyoongoza mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Chalinze Ramadhan Bwanamdogo


6 
Rais Kikwete katikati kwenye mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Chalinze Ramadhan Bwanamdogo


01 

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya CCM Ramadhan Bwanamdogo aliyefariki dunia juzi. Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika kijijini kwake Chalinze Mion, wilaya ya Bagamoyo.

02
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Chalinze.2

Rais Jakaya Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Chalinze aliyefariki dunia juzi.

05

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisaini katika kitabu cha maombolezo .

1

 RaisKikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo  Freeman Mbowe   
  
IMG_9828
    9 8
7 5
\
04


PICHA ZOTE NA ABDALLA WELLAH MWANDISHI WA BLOG HII ALIYEKUWEPO KWENYE MAZISHI HAYO KWA CHOCHOTE KUHUSIANA NA BLO HII WASILAANA NAE KWA 
O657-844 6991
0753 613 172
abdallawellah@yahoo.com

Comments