Unaambiwa
Tanzania kuna vijiji elfu kumi na tisa na mia mbili kwa mujibu wa sensa
ya Mwaka 2012 iliyohusisha makazi na watu ambayo pia ilionyesha
Watanzania ni milioni 44.9
Sasa basi, katika hivyo vijiji 19,200 kuna vijiji zaidi ya mia mbili
ambavyo mpaka sasa vina tatizo kubwa la mawasiliano, yani ukiwa na simu
ya mkononi ni noma… hauwezi kuwasiliana kirahisi sababu hakuna
mawasiliano ya uhakika, ni kubahatisha pengine mpaka usimame sehemu
flani.
Vijiji ambavyo havina mawasiliano ya simu mpaka sasa ni zaidi mia mbili hilo likiwa ni tatizo sugu.
Idadi ya kupunguza vijiji vyenye tatizo la mawasiliano haijaanza
kupunguzwa leo na TCRA (mamlaka ya mawasiliano) kwani kwa miaka mitano
iliyopita ilifanyika kazi ya kuvipa mawasiliano ya uhakika vijiji zaidi
ya mia moja.
Kwa sasa Serikali inaendelea kuvisaidia hivi vilivyobaki baada ya
kupokea msaada wa shilingi bilioni 17.5 kutoka benki ya dunia ambazo
zitatumika kujenga minara kwenye vijiji 869 vyenye jumla ya wakazi
milioni 1.6.
Ulishawahi kumuona Diamond Platnumz akiwa GYM? Tazama picha hizi zikimuonyesha akiwa GYM leo asubuhi
Mwanamuziki wa
Bongo Fleva Diamond Platnumz amaye kwa sasa yupo jijini
Nairobi kwaajili ya show atakayo ifanya usiku wa leo ameamuwa ku share picha akiwa GYM kwenye mazoezi aliyo yafanya leo asubuhi.
Nimiongoni mwa picha ambazo amekuwa aki share pamoja na zile za ukumbi
ambao atapanda usiku wa leo kwaa jili ya show unaweza zitazama hapa kama
bado hujaziona...
'
Tazama
picha za Diamond Platnumz kwenye stage atakayo fanyia show usiku wa leo
na akifanya mazoezi ya show hiyo kwenye hiyo stage.'
Hizi hapa akiwa GYM leo asubuhi.
- See more at: http://www.24hoursmix.com/2014/01/ulishawahi-kumuona-diamond-platnumz.html#.UuJS2DVfsZ0.twitter

Comments
Post a Comment