Soma hapa na angalia picha Prof. Lipumba akipigwa mabomu, na akikamatwa
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwa
chini ya ulinzi , eneo la Mtoni Mtongani jijini Dar es Salaam baada ya
Polisi kusitisha maandamano ya chama chake . Jeshi la Polisi jana ilitumia nguvu kuwatawanya
wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), kwa kurusha mabomu, risasi za moto
na maji ya kuwasha, na kumkamata Mwenyekiti wa chama hicho, Prof.
Ibrahim Lipumba na wafuasi wengine wapatao 32.

Comments
Post a Comment